Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo akifunga maonyesho ya kilimo nyanda za juu Kusini jijini Mbeya kwenye kiwanja John Mwakangale.

 Waziri David Mathayo akipokea maandamano wa kwanza kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya.
 Maandamano yakiwa yanaingia viwanja vya nane nane.
 Waziri akipata maelezo toka kwa mkuu wa wilaya Mbeya Evance Balama alipotembelea bada la halmashauri ya wilaya ya Mbeya.
 Umati mkubwa wa wananchi waliohudhuria maonyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini Mbeya.
 Baadhi  ya watumishi wa wakishurahia na kupokea vyeti vyao vya ushindi katika mabanda Bora katika maonesho hayo ya Nane Nane
 Baadhi  ya watumishi wa wakipokea vyeti vyao vya ushindi katika mabanda Bora katika maonesho hayo ya Nane Nane.
 Baadhi  ya watumishi wa wakipokea vyeti vyao vya ushindi katika mabanda Bora katika maonesho hayo ya Nane Nane.
 Baadhi ya wateja wakipata maelezo katika banda la Vodacom.

Mzee kyando wa kikundi cha huzuni cha baba wa taifa alikuwepo.
Kama kawaida wachina hawakukosa eneo hili  kuchemkia biashara ya maua.

Picha zote na- Mbeya Yetu Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: