Maelefu ya washabiki mjini Frankfurt wanatarajiwa kuvaana uso kwa uso, jino kwa jino na bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa band" katika onyesho kubwa la kimataifa la "Africa & Carebbean Festival,litakalo fanyika katika viwanja vya Robestock Park, mjini Frankfurt,Ujerumani siku ya jumamosi 6.08.2011, ambako kamanda Ras Makunja wa FFU ataongoza kikosi chake jukwaani,bendi hiyo yenye utajili wa washabiki na wanamziki wenye vipaji miongoni mwao akiwemo mpiga solo gitaa Chris-B.
Ngoma Africa band wanatamba na nyimbo yao mpya ambayo ni zawadi ya miaka 50 uhuru, nyimbo hiyo "Bongo Tambarare" inasikika katika kambi ya FFU at www.ngoma-africa.com


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: