Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Magdalena Sakaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais , Siasa na Uhusiano wa Jamii, Stephen Wasira (kushoto), Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idris Kikula (wapili kushoto), Mbunge wa Viti Maalum, Martha Mlata na Waziri wa Ujenziri wa Ujenzi, John Magufuli, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa, Idris Kikula, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vitabu na machapisho mbalimbali katika maonyesho ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: