Wasanii wanaounda kundi la Kundi la Tip Top Connection wakikamua katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011.
 Wakazi wa mjini Moshi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika kuhudhuria tamasha la Serengeti Fiesta 2011 inayofanyika ndani ya uwanja wa ushirika. 
Msanii mkongwe katika muziki wa kizazi kipya, Profesa Jay akikamua kikamilifu mbele ya wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria tamasha la Serengeti Fiesta 2011. 
Mwanadada Recho akiwa na shosti yake wakionyesha umahili wa kuimba na kucheza.
Kutoka kushoto ni Dj Bula akifanya vitu vyake huku pembeni yake ni mtangazani wa Clouds Fm Rubeni Ndege na Hamza ambaye ni mratibu wa wasanii katika Serengeti Fiesta 2011.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Diamond akionyesha umahili wake wa kuimba.
 Nikishow love na wadau wa blog hii kutoka mjini Moshi.
 Mwana FA nae hakuwa nyuma kuonyesha umahili wake wa kuwapagawisha waazi wa mji wa Moshi na songi lake la 'Habari ndiyo Hiyo'
 Jaguar ambaye ni mwanamuziki kutoka mchini Kenya akionyesha makeke yake.
 Nako 2 Nako Soja wakikakua katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 lililofanyika katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Watangazaji wa Clouds Fm Ruben Ndege (kushoto) akiwa na Adamu Mchovu wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2011 ndani ya mji wa Moshi.
 Wakisho Love
Jaguar ambaye ni mwanamuziki kutoka mchini Kenya akilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2011 ndani ya Moshi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: