Mwanadada Recho akifanya mambo katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 ndani ya mji wa Tanga katika uwanja wa Mkwakwani.
Mwanadada Recho na maunooooo.  
Mzuka ukiwa umempanda mmoja ya washabiki wa Serengeti Fiesta 2011
wasanii wanauitwa Makomando wakikamua katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 katika uwanja wa Mkwakwani.




Mwanadada mkali wa kudance na kuimba Dayna akifanya mambo yake.  


Mtangazaji wa Clouds Fm, Adamu Mchomvu akiwa na kijana ambaye alionyesha kipaji chake cha utangazaji.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: