Mtangazaji wa Clouds Fm, Wasi Wasi Mwabulambo akiongea na Meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager Allan Chonjo pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (SBL) Teddy mapunda ambapo ndiyo wadhamini wakuu wa Serengeti Fiesta 2011 mara walipotembelewa ofisini kwao Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (SBL) Teddy Mapunda akiunguruma 'live'  kupitia Clouds Fm alipokuwa akifafanua mambo yanayohusu Serengeti Fiesta 2011.
 Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers (SBL) Ephraim Balozi Mafuru akielezea jambo wakati akifanya mahojiano na Clouds Fm.

 Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers (SBL) Ephraim Balozi Mafuru akiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (SBL) Teddy Mapunda.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (SBL) Teddy Mapunda, Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers (SBL) Ephraim Balozi Mafuru akiwa na  Meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager Allan Chonjo wakiwa na kikosi kazi cha Clouds Fm kinachorusha matangazo 'live' kutoka mtaani ambao ni watangazaji Wasi Wasi na Raymond walipowatembelea ofisi za Serengeti kwa ajili ya mahojiano mafupi ya tamasha la Serengeti Fiesta 2011 linalotarajia kufanyika kesho July 30, 2011.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: