Askari wa JWTZ wa kikosi cha 44 KJ wakiwa mazoezini kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya.
 Bendi ya jeshi la Magereza wakiongoza gwaride.
 Wanajeshi wakiendelea na mazoezi kwa ukakamavu zaidi.
Mnara huu wa majina ya Mashujaa waliokufa vitani upo katikati ya jiji la mbeya sijui kama nao wataukumbuka kuufanyia usafi maana umezungukwa na nyasi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: