Na Andrew Chale
MSANII anayeng'ara kwenye chati za filamu mbalimbali za Bongo, nchini Tanzania, Elizabeth Michael 'Lulu', ama ‘Hotlulu’ amewaacha maswali magumu ‘friendz zake baada ya kuweka/kupost status ya ‘Bado nipo nipo sanaaaa’. kwenye kurasa ya facebook yake.
Hot lulu ambaye kwa sasa anakula sahani moja na mastaa nyota wa bongo ameendelea kuwaashia endiketa hasa kutokana na uzuri wake aliyo nao huku akipambana na changamoto mbalimbali zikiwemo ‘skendal’ ambazo mara zote amekuwa akizikana.
..Hata hivyo kwa kile ambacho amegonga vichwa na status yake hiyo, ni hali ya huko nyuma kwa nyota huyo kudaiwa kuvishwa pete na jamaa (chini ya kapeti) huku pia akidai kuwa angejitoa facebook, wengi walidhani hivyo viwili lakini Lulu aliwapotezea huku swala la kujitoa alidai kuwa alikuwa anatingisha kiberiti kama kimejaa??/.
….Lulu ndie msanii pekee aliyeanza sanaa toka akiwa na umri mdogo kwenye kundi lililovum Bongo la Kaole sanaa group, ambalo kwa sasa ndilo kundi pekee lililozalisha mastaa wa bongo, akiwemo Ray Kigosi na Steven Kanumba.

lulu ungetulia ufanye kazi na siyo kutiwa tiwa hovyo kama wema.
ReplyDeletewahurumieni na kuwaheshimu wazazi wenu jamani.
Mwanangu Lulu Ninakushauri kwa upendo wote tulia tulia tulia. Mungu anakupenda sana na angependa uuheshimu uumbaji aliokujalia kuwa nao, uzuri ulio nao uwe kwa utukufu wake Mungu. Mimi ninayekuambia ni Mchungaji na Askofu wa Kanisa, tena umepewa jina la mama yangu. Ninakuomba sana mwanangu jitunze, utapata mume wa kuishi naye, mume wa heshima zote. Mungu akusaidie.
ReplyDeleteHII NI KAMA LAANA KWA LULU SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA HATIMAYE LEO ANATUHUMIWA KUMUUA KANUMBA ALIPOHOJIWA NA SALAMA KWENYE KIPINDI CHA MKASI ALIKANA KUWA NA MCHUMBA
ReplyDelete