Mtangazaji wa kipindi cha Daladala daniel Kijo akiingia garini wakati wa kuanza kurekodi kipindi cha daladala ambapo safari hii kipo mkoani Tanga. Daladala hurusha na ITV kila siku kuanzia saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja.
 Eldad Mark Film Director aliyevaa fulana ya rangi ya kijani akiwa na Deogratius Sizya Camera man wa kipindi cha Daladala pamoja na afisa wa elimu za sekondari wilaya ya Mkinga Bwana Kombo wakijiandaa na mahojiano.
 Eldad Mark Film Director wa kipindi cha daladala akiwa na Daniel Kijo walipotembelea kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh. 
Bibi Kiroboto ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha daladala akiwa na dereva wa daladala bwana Emanuel Zing. Aliyesimama ni mfanyakazi wa kiwanda cha Tanga Fresh bi Winfrida Magawa aliyesimama.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: