Kuna ajali imetokea mda si mrefu Morogoro baada ya basi la kampuni ya Hood kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta.Moto bado unaendelea kuwaka na inasemekana watu wengi wanamekufa kwenye ajali hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: