Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume, akiendesha kikao cha siku moja cha kamati maalum ya halmashauri kuu ya taifa ya Zanzibar katika ukumbi wa CCM Kisiwandui jana, (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk Ali Mohamed Shein.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, (kulia) akisoma agenda za kikao cha  siku moja cha kamati maalum ya halmashauri kuu ya taifa ya Zanzibar katika ukumbi wa CCM Kisiwandui jana, (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk Ali Mohamed Shein, na Katikati) Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK Amaan Abeid Karume.

Wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM ya Zanzibar,wakisikiliza mada zinazotolewa  katika  ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Amaan Abeid Karume.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu, Zanzibar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: