Dj Bulla Akionyesha manjonjo yake ya kucheza na vidole katika Serengeti Fiesta 2011.
 Watoto wa T.H.T nao walikuwepo.
 Kuna majotrooooooooooooooooooo?
 Salamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
 Belle 9 akiwasha motoooooooooo.
 Mebu kutoka Clouds Tv akirusha mambo liveeeeeeeeee.
 Kijana Sheta akionyesha umahili wake wa kucheza.
 Timu nzima ya Blogers ikiwa kazini ukiangalia ni John Bukuku (wa kwanza ushoto), Sophia Kessy, Michuzi Jr pamoja na mimi mwenyewe.
 Nikiwa na Michuzi Jr tunaendeleza libenekeeee.
 Mwanamuziki Alikiba akiimba katika Serengeti Fiesta 2011.
 Mpoki nae aliwakilisha ndani ya Serengeti Fiesta 2011.
 Mwanamuziki wa Hip Hop, Mwana FA akiwapa unanijua unaisikiaaaaaaaaaaaaaaaaaa??
Lazima na sisi tuuzeeeeeee, ndivyo alivyokuwa akisema Mpokiiiiiiiiiii. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. Ima (The Designer)25 July 2011 at 13:43

    safi sn kaka hope na mm nitakuja kuwa broger siku moja.

    ReplyDelete