Nyomi ya kutosha.

Hapa ni jenereta la kutosha hakuna kusema umeme umeketika, tanesco hawana nafasi.
Nayo radio Clouds FM ipo Live.
Aha! kila kitu kimepangika hapa ni wale watu wa gambe... bar zipo na mamisosi ya kutosha.

Mambo ya Clouds TV nao wapo Live bila Chenga.

Nyomi ambayo imejitokeza kwenye Serengeti Fiesta 2011 ndani ya CCM Kirumba jijini Mwanza. Kwa wale wengine wanaopenda kusiliza 'live' ni www.toneinternetradio.blogspot.com utayapata yote yanayoendelewa.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: