Askari wa barabarani akiwa amesimamisha gari eneo la Mikese, Morogoro akikagua, askari hawa wamekuwa ni wasumbufu sana hasa kwa wasafiri wenye magari madogo kwa kuwakamata eti kwa vile wanakosa sticker ya fire extinguisher (pichani chini) ambapo huwa hawanaaja ya kujua kama unayo au la! hali hii imeonekana kuwa ni kero kubwa kwa wasafiri. Pia ni vyema askari hawa wakajiuliza kuwa je? watu wote wenye magari yanajua matumizi ya hivyo fire extinguisher zilizopo majumbani ama kwenye magari???
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: