Msanii wa kizazi kipya, Top C akikonga nyoyo za mashabiki kwa wimbo wake wa 'Sababu ya Ulofa' katika uzinduzi wa Club Hamilnton iliyopo Kahama wakati wa Pasaka. Kama vile haitoshi Dj Elly 'The Big Dady' na Dj Masu walifanya mapinduzi ya burudani kwa wakazi wa Kahama na vitongoji vyake kwa kuwapa burudani waliyokuwa wakiisubiri kwa muda mrefu. Club Hamilnton 'The People Club' inapiga mziki siku za Ijumaa, Jumamosi, Jumapili na Jumatano.
Home
Unlabelled
TOP C ALIVYOTOA BURUDANI KWA WAKAZI WA KAHAMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: