Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, pia Mwenyekiti wa mkutano wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,alipofungua mkutano huo wa siku tatu, katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel, jana.
Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee, akimkaribisha Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akiwa Mwenyekiti wa mkutano wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel, jana.Mwakilishi wa Jumuiya ya Madola kwa nchi za Afrika ya Mashariki,Dunstun Maina,akitoa salamu za jumuiya katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika Ukumbi wa Mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel, Nje ya Mji wa Zanzibar.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika UKumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,Nje ya Mji wa Zanzibar.Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika UKumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,Nje ya Mji wa Zanzibar.Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika UKumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel,Nje ya Mji wa Zanzibar.Viogozi wakuu wa Serikali ya Mapinduzi, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho,Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar,Othman Masoud Othman na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Mwinyihaji Makame, wakiwa katika mkutano wa uimarishaji uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika UKumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel.Watendaji wakuu wa Mawizara ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel.Watendaji wakuu wa Mawizara ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiwa katika Mkutano wa siku tatu wa kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika Ukumbi wa mikutano wa Zanzibar Beach Resort Hotel.
Picha zote na Othman Ramadhani wa Ikulu, Znz.
Toa Maoni Yako:
0 comments: