Pichani ni wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Victoria, jijini Dar es Salaam wakiwa wamelala wanasubiria wateja, mchezo huu wa kulala huanza saa 6 usiku utakuta akinadada wakiwa wamelala pembeni mwa mashine za mafuta ya petroli na dizeli bila kujali kuwa wanahatarisha afya na maisha yao kwa ujumla. Inaonyesha wafanyakazi wengi wanaoingia shift za usiku hulala makazi bila kujali afya na maisha yao. Ni vyema mmiliki wa kituo hichi cha mafuta kuwatafutia utaratibu wa kuwasaidia wafanyakazi wake wapate sehemu ya kulala salama na kuepuka kulala pembeni mwa mashine za mafuta.
Home
Unlabelled
USINGIZI UNAPOHATARISHA MAISHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: