Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF Bw. Daud Msangi akiwasilisha mada kuhusu shughuli za Mfuko wa GEPF pamoja na umuhimu wa kuwa mwanachama wa Mfuko kwa wahitimu wa kozi za uongozi katika Chuo cha polisi Zanzibar . Kulia kwake ni Meneja masoko wa mfuko huo Bw Aloyce Best Ntukamazina na kushoto ni Mkufunzi Mkuu wa Chuo hicho Bw Andrea Mwang'onda.
Meneja Masoko wa Mfuko wa Akiba wa Wafanyakazi Serikalini (GEPF) Bw. Aloyce Best Ntukamazina akitoa mada kuhusu mpango wa Hiari wa Akiba ya Uzeeni (VSRS) kwa wahitimu wa Chuo cha Polisi Zanzibar. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw Daud Msangi pamoja na Mkufunzi Mkuu wa Chuo cha polisi Zanzibar Bw Andrea Mwang'onda.
Baadhi ya wakufunzi wa kozi ya uongozi katika chuo cha Polisi, Zanzibar wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa (GEPF) Bw. Daud Msangi mara baada ya kuwatembelea chuoni hapo kwa lengo la kuwapa mada ya umuhimu wa Mfuko huo kwa hifadhi ya jamii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: