CD za Haleluya Collections Vol.5 zikiwa tayari zimezinduliwa jioni ya leo,huku umati mkubwa wa watu ukumbini humo ukirindima kwa shangwe na vifijo.
Rais Jakaya Kikwete akizindua CD ya nyimbo za injili ya Haleluya Collections kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar jioni hii. Kushoto ni Askofu Laurence Kameta wa Kanisa la TAG akifuatiwa na Mkur ugenzi wa Msama Promotions, Bw. Alex Msama.

Pichani kati Mkurugenzi wa Msama Prmotionsa (Muaandaji wa tamasha) Bwa.Alex Msama akimkabidhi mgeni rasmi,Rais Jakaya Kikwete CD za Halleluya Collection Vol.5 kala ya kuzinduliwa,anaeshuhudia kushoto ni Askofu Laurence Kameta wa Kanisa la TAG.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: