Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akizindua Mpango wa Mkakati wa Mamlaka ya Maji, ZAWA huko Ikulu Mjini Zanzibar jana, katika sherehe za kuadhimisha miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kushoto) Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia makaazi Duniani (UN), Dr Anna Kajumulo Tibaijuka na Waziri wa Maji, Umeme, Nishati na Ardhi Mansour Yussuf Himidi.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: