
Huu ni mji-City of DSM. Ina maana viongozi wa serikali ya Mtaa hawawaoni hawa. Wana Uniform ina maana ni CBO/NGO.Trainers wao ndivyo alivyowafundisha kuzalisha mali ndio wafanye hivi? Barabara kubwa pana na si ajabu jirani kuna kituo vya polisi, jeshi na magereza na ofisi ya Kata. Ila, excuse ni poverty na kuzalisha mali au rushwa au-uchaguzi upo jirani tuwaache tusiwasumbue au katika wanakikundi kuna wake au watoto wa viongozi wa Mtaa, Polisi, Diwani! Tusipozina ufa-tutajenga ukuta. Ila kila kitu wabongo ni sawa. Inaonekana kana kwamba
‘Mtanzania Mwalimu wake (trainer) kipofu, Mshauri wake katika mambo yake yote- Kiziwi; miguu ya kutembea ni Baja-juu ina mbinu chini matege, hivyo haina uelekeo unaojulikana!’
Daily News 5/10/2009
Daily News 5/10/2009
Toa Maoni Yako:
0 comments: