Habarini za leo wadau nawaalika sana tena sana kwa moyo mkunjufu katika blog yenu mpya ya http://ngwasuma-ngwasuma.blogspot.com/, blog ambayo itakuwa inakupa live shows zote za ndani na nje na afrika kuhusu matamasha mbali mbali na kazi mpya za muziki toka kwa wanamuzikiwetu nia na lengo ni kukupa burudani zaidi.
Kumbuka ngwasuma-ngwasuma ni blog ya pili kuiendesha baada ya ile ya http://www.africabambataa.blogspot.com/.
Na hii ni kutokana na mapenzi toka kwenu ya kunishauri na kuniomba kuwapa vitu murua vya live zaidi. blog hii itakuwa na kila kitu na kubwa zaidi nazungumzia mavazi, pamoja na video za wanamuziki wetu nachohitaji toka kwako ni ushirikiao ili kuhakikisha tunautangaza pia muziki kwa njia ya video. Nitafanya kila namna kuhakikisha muziki wetu unavuka mipaka na kujulikana ndani na nje ya afrika.
Kwa mawasiliano usisite kuniandikia kwa kessysophia@gmail.com ni ruhusa kuweka maoni lakini matusi na lugha chafu sitaziruhusu katika mtandao huu. hairuhusiwi ku copy kazi yoyote humundani bila idhini ya muhusika.Asante na karibu uifurahie ngwasuma-ngwasuma.
MALKIA SOPHY
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: