Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Kenya,Raila Odinga wakitazama ngoma baada ya Waziri Mkuu Pinda kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kwa ziara ya siku mbili.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: