Huyu mtu anitwa Caster Semanya, ni raia wa Afrika ya kusini. Kuna bonge la saga limezuka juu kwamba ana jinsia ya kiume hali inayopelekea kusumbua vichwa vya watu wengi kwa sasa hapa duniani.

Hebu tazama hiyo picha hapa ni baada ya kujinyakulia zawadi yake. Halafu jibu baki nalo wewe mwenyewe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: