Kampeni nayoratibiwa na Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth na kusimamia na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangwalla kwa kushirikiana na wasanii nguri nchini ambapo huu ni msafara wa kwanza tangu kuzinduliwa kwa awamu ya pili ya kampeni hiyo iliyopewa jina la 'Twenzetu Ki-Nature' ambapo wasanii watatembelea maeneo ya kihistoria ya Kaole, Mji Mkongwe yaliopo Bagamoyo Jumanne kuanzia Disemba 17 -20, 2019 na kisha kuelekea mkoani Tanga ambapo watatembelea Mapango ya Amboni, Tongoni na Msitu wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani katika muendelezo wa Kuutangaza Utalii wa ndani.



@tanzania_forest
#misitukwanza
#twenzetukinature

KAMPENI ya kuhamasisha Utalii wa Ndani 'Twenzetu Kutalii' inayoratibiwa na Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth na kusimamia na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangwalla kwa kushirikiana na wasanii nguri nchini imechukua sura mpya baada ya msafara wa kwanza tangu kuzinduliwa kwa awamu ya pili ya kampeni hiyo 'Twenzetu Ki-Nature' kuanza safari ya kutembelea maeneo ya kihistoria ya Kaole, Mji Mkongwe yaliopo Bagamoyo Jumanne Disemba 17,2019 na kisha kuelekea mkoani Tanga ambapo watatembelea Mapango ya Amboni, Tongoni na Msitu wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani katika muendelezo wa Kuutangaza Utalii wa ndani.

@tanzania_forest
#misitukwanza
#twenzetukinature

NANI ANAYETAKA KUBAKI NA MIKOSI YAKE MWISHO WA MWAKA HUU HAKIKA HAKUNA NA SEHEMU PEKEE PAKUACHA NIKOSI YAKO NI KAOLE BAGAMOYO
Pichani ni sehemu ya wasanii nguri nchini na baadhi ya watilii wa ndani wakiwa wananawa maji yanayoaminika kuwa ya baraka kutoka mwenye kisima cha baraka ambacho hakiyawahi kukauka kilichopo Kaole Bagamoyo ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kuhamasisha Utalii wa Ndani 'Twenzetu Kutalii'. Maji hayo yanaaminika kuwa ukinawa ana kuoga yanaondoa mikosi, nuksi na majanga yote ya dunia.













































         


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: