Tarehe 21, May 1996 kamwe watanzania hatutaweza kuisahau.Ni miaka 22 sasa tangu kutokea kwa ajali mbaya ya meli ya MV Bukoba iliyogharimu maisha ya watanzania zaidi ya 800.Tukumbuke kuwaombea wote walipoteza maisha yao na pia tuwe na somo kupitia ajali ile hivyo tuchukue tahadhari kila inapowezekana hasa kutumia vyombo vya usafiri vilivyojaza kupita uwezo na waangalifu katika kila linalowezekana.Daima tutawakumbuka ndugu zetu waliopoteza maisha katika ajali ile.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: