Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) katika akionyesha waandishi wa habari tuzo aliyokabidhiwa na klabu ya Coastal Union kwa kutoa mchango wake kuipandisha kucheza Ligi kuu msimu ujao kushoto ni Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga (CCM) Azzah Hamadi Hilali.
Home
MICHEZO
COASTAL UNION YAMKABIDHI TUZO YA HESHIMA WAZIRI UMMY MWALIMU KWA KUISAIDIA KURUDI LIGI KUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: