Vijana wa jiji la Dar es Salaam wakiokota machupa katika bonde la mto Msimbazi mara baada ya machupa hayo kuletwa na maji ya mvua yaliyofurika kuja na takataka hizo
Sehemu ya takataka zilizojaa katikati ya Barabara ya Morogoro amabazo zimeletwa na maji ya mvua yaliyotapishw akutoka mto Msimbazi.
Mmoja wa wa kazi wa Jiji akiwa amejitika mzigo wake katika bonde la jangwani mara baada ya kuokot katika bonde la mto Msimbazi.
Bibi wa makamo akiwa amejibanza katika kituo cha mabasi ya yaendayo haraka mala baada ya makazi yake kusombwa na maji katika eneo la Jangwani.
Muendesha baiskeli ya Magurudumu matatu akijaribu kiunua baiskeli mara baada ya kuteleza katikati ya barabra ya Morogoro ambapo tope limetanda mara baada ya tope kutapika kwenye mwendokasi.


Toa Maoni Yako:
0 comments: