Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimnoa bondia Idd Mkwera (kulia) kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika Mei 4, 2018 ndani ya Uwanja wa Taifa. Bondia Mkwera atazipiga na Bondia Ramadhani Shauri katika Pambano la raundi 10. Picha na SUPER D BOXING NEWS.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akipambana na bondia Idd Mkwera (kushoto) wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Bondoa Ramadhani Shauri Utakaofanyika Mei 4, 2018 ndani ya Uwanja wa Taifa. Bondia Mkwera atazipiga na Bondia Ramadhani Shauri katika Pambano la raundi 10.
Bondia Kelvin Majiba (kushoto) akipambana na Bondia Idd Mkwera kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika Mei 4, 2018 ndani ya Uwanja wa Taifa. Bondia Mkwera atazipiga na Bondia Ramadhani Shauri katika Pambano la raundi 10.


Toa Maoni Yako:
0 comments: