Makamu mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ulimwenguni Mch Geoffrey Mbwana leo ametembelea Gereza la Mahabusu na Wafungwa la Ruanda jijini Mbeya na kukabidhi mabati, viti, Saruji, Sabuni, Mawe na Mchanga na mLA awe ya kujengea ambavyo vimetolewa na waumini wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato jijini Mbeya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments: