Watoto waishio katika kituo cha sixten Anderson Orphanage Center wakipata chakula.
Viongozi mbalimbali wa Rise Charity, Wadau pamoja na watoto wa sixten Anderson Orphanage Center wakiwa katika picha ya pamoja
Viongozi wa Rise Charity Kulia Mkurugenzi Mtendaji Mr Innocent Horomo, kushoto katibu wa Rise Charity Mr Atley Kayuni na watoto wa sixten Anderson Orphanage.
---
Katika kusambaza upendo kwa jamii ya Tanzania, Shirika lisilo la kiserikali la Rise Charry leo limeadhimisha kilele cha msimu wa wapendanao kwa kutoa msaada katika kituo cha sixten Anderson Orphanage Center kilichopo mkoani pwani, wilaya ya kibaha ikiwa ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa na shirika hilo
Maadhimisho hayo ambayo yamehusisha marafiki na wananchi mbalimbali ambao ni watu wa karibu Rise charity pamoja na watoto wa sixten Anderson Orphanage Center yamefanyika katika uwancha wa kituo hicho kwa kusheherekea kwa pamoja.



Toa Maoni Yako:
0 comments: