Mtaalamu wa Masuala ya Ukatili wa Kijinsia na Ustawi wa Jamii Kutoka Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Rehema Katyega akizungumza na ujumbe wa Waandishi wa Habari waliotembelea Kambi za Nduta na Mtendeli Mkoani Kigoma.
Sehemu ya Ujumbe wa Waandishi wa habari waliotembelea Kambi za Wakimbizi za Mtendeli na Nduta Mkoani Kigoma kujionea shughuli zinazotekelezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) pamoja na Wadau mbalimbali .
Wafanyakazi wa Ofisi ndogo ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) Kibondo mkoani Kigoma wakifatilia kwa karibu mkutano wa maelezo mafupi juu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za shirika hilo katika kambi za Wakimbizi za Nduta na Mtendeli.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) wakiwa katika mkutano huo.


Toa Maoni Yako:
0 comments: