Naibu Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Aksoni ameendesha harambee ya kuchangia hospitali ya wilaya ya Namtumbo iliyopo mkoani Ruvuma kwa ajili ya kujenga wodi ya akina mama pamoja na jengo la upasauaji, pia Naibu spika alishiriki mbio za kilometa 5 na kuwa mshindi wa mbio hizo habari kamili hii hapa video yake.
Home
HABARI MAKAMU WA RAIS
NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKSONI AMEWATAKA WANAWAKE NCHI KUJENGA MAZOEA YA KUFAYA MAZOEZI MARA KWA MARA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: