Mtangazaji wa kipindi Cha Genge Pido na Mc Wa Efm Mziki Mnene akiwa na Mashabiki wa kipindi hicho katika Tamasha la Mziki Mnene Kibaha mkoa wa Pwani.
Msanii wa Bongo Fleva nchini Msami Baby akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Hip Pop nchini Squizer akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Hip Pop nchini Squizer akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
RDJ Mamy kutoka kipindi cha Joto la Asubuhi cha Efm Radio akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
RDJ X5 akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva nchini Prince Dully Sykes akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
Msanii Muziki wa Singeli nchini Majid Migomba akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
Mashabiki na wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
Msanii wa Muziki wa Hip Pop nchini Billnas akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
RDJ Spur akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
RDJ Autrun akitoa Burudani kwa wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.
Mashabiki na wakazi Kibaha katika Tamasha la Efm Mziki Mnene Mkoa Pwani.


Toa Maoni Yako:
0 comments: