Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Bw. Noel Mulumba Akimkabidhi zawadi ya Tiketi ya basi Bw.Hussein Bashe (katikati) ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca anayeshuhudia ni Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya New Force Masumbuko Masuke mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.
Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Akimkabidhi zawadi ya Tiketi ya basi Bw. Charles Alfred (katikati) ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca anayeshuhudia ni Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya Ngorika Joyce Assenga mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.
Meneja wa Masoko wa Benki ya Finca Microfinance Bw. Nicholous John, akifurahi jambo na Adam Jumanne wa pili kutoka kulia akipokea zawadi kwa niaba ya Miriam Masanje ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Bw. Noel Mulumba (katikati) na mwishoni kulia Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya New Force Masumbuko Masuke mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.
Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa benki ya FINCA na maafisa usafirishaji wa Ngolika na New force mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam.
Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: