Mwenyekiti wa Wakala wa Utalii nchini, TATO (Tanzania Associations of Tour Operators) Ndugu Wilbard Chambulo akigonga glasi na wageni waalikwa kabla ya kuanza kwa Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), Jijini Arusha.
Wageni Waalikwa wakipata vinywaji kabla ya Uzinduzi wa Mradi (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project).
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Utalii Nchini (TATO), Bw. Sirili Akko  akiwakaribisha na kutoa ratiba fupi kwa wageni waalikwa kabla ya kuanza  kwa  Uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti  Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.
Meza Kuu, Watatu kutoka Kulia ni Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Mrisho Gambo, Mkuu
wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro , Ndugu Chambulo, Mzee Nunes , Bw. Gerald Bigurube (FZS-TZ) na Dk. Simon Mduma (TAWIRI) katika Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) jijini Arusha.
Mzee Nunes akitoa Mada fupi katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.
Wadau wa Utalii nchini wakisikiliza kwa Umakini katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), Jijini Arusha.
Ukumbini.
Meneja wa Mradi, Ndugu Erik Winberg akitoa Maelezo na Picha ya Mradi wa utoaji mitego kwa Wanyama pori.
Ndugu Salehe akiuliza Swali kwa waendesha Mada katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akisalimia na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa ili kuzindua mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika  katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizindua Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika  katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha  Hotel), jijini Arusha.
Ugawaji wa Vyeti kwa wadau wa Utalii katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation  Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti  iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The
Arusha Hotel), Jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika  katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha  Hotel), jijini Arusha.
Bw. Hanspaul ,akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika  katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha  Hotel), jijini Arusha.
Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika  katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.
Dk. Simon Mduma akitoa neno la Shukrani kwa wadau wa utalii katika Uzinduzi  wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), Jijini Arusha.
Bw. Chambulo, akitoa neno la Hitimisho mara baada ya uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme  De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika  katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: