Leo ni siku ya maadhimisho ya kuzaliwa mwanangu mpendwa Caren Cathbert Angelo ambapo ametimiza umri wa miaka miwili tokea amekuja duniani.
Mwenyezi Mungu azidi kukulinda na kukupa miaka mingi zaidi ya kuishi duniani.
Malkia Caren akifurahia keki.
Malkia Caren akikata keki huku akifuatiliwa kwa makini na kaka yake Alvin (katikati) na binamu yao Yvonne.


Toa Maoni Yako:
0 comments: