Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro akitokea Mkoani Dodoma leo Julai 27, 2017.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro waliokuwa wamejitokeza kumsalimia akitokea mkoani Dodoma leo Julai 27, 2017.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Bi. Maria Gabrieli aliyemweleza juu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro kunyanyaswa leo Julai 27, 2017.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Bi Halima Alli aliyemweleza rais juu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro kunyanyaswa Julai 27, 2917.


Toa Maoni Yako:
0 comments: