
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimjulia hali Doreen Mshana mwenye umri wa miaka 13 ambaye ni mmoja wa
majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa Arusha ya Mt. Meru,
Doreen ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali waliopata wanafunzi wa
Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais).


Toa Maoni Yako:
0 comments: