
Nikiwa katika Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara nimekutana na mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi MKWAPA , iliyopo Wilayani humo Mkoani Mtwara CHEKELENI RASHID ambaye amezaliwa akiwa na ulemavu wa mikono( amezaliwa akiwa hana mikono) mwenye ndoto za kuwa Nesi. Hii hapa Video yake.


Hakika Mungu mwingi wa Rehma. Unatakiwa kilema nchi za kima skin ni mateso sanaaa. .nchi za Ulaya an apewa msaada na Serekali .
ReplyDeleteWatanzania tujitokeze kumsaidia . Na sie tuishio nje pia. Je msaada unamfikiaje.
Mola atakufungulia njia .