Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akisaini katika kitabu cha
wageni baada ya kuwasili ofisini kwake kuanza kazi rasmi leo. Pamoja
naye ni Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo ambaye alimkabidhi
rasmi ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Machi 27, 2017.
Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akilakiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo alipofika kukabidhiwa ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017. PICHA NA IKULU.




Toa Maoni Yako:
0 comments: