Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa
William Lukuvi akiwa na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe. Abdelilah
Benryane wakati alipo mtembelea ofisini kwake.
Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane akimueleza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi jinsi Nchi yake ilivyofanikiwa katika kukabiliana na makazi holela kwa kiasi kikubwa.


Toa Maoni Yako:
0 comments: