Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano, Airtel, Bi Beatrice Singano Mallya (wa pili kushoto), akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano Airtel, Bi Beatrice Singano Mallya akitoa maelezo juu ya kwa kamati ya kudumu ya Bunge miundombinu wakati walipotembelea ofisi za Airtel makao makuu
Meneja kitengo cha network wa Airtel Tanzania, Emmanuel Luanda akitoa maelezo kuhusu mitambo ya mawasiliano ya simu kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati walipotembelea ofisi za Airtel leo
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akitoa maelezo kuhusu mitambo ya mawasiliano ya simu kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam jana.
Meneja kitengo cha network wa Airtel Tanzania, Joseph Mwaikambo akiwaonyesha baadhi ya wajumbe wa kwa kamati ya kudumu ya Bunge miundombinu vifaa mbalimbali vya mawasiliano wakati walipotembelea kituo cha mtandao kilichopo makao makuu ya Airtel Morocco
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: