RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ineke
Bussemaker, alipofika Ikulu Zanzibar .leo 17-2-2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein, akimsindikiza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya
NMB Tanzania Bi Ineke Bussemaker, baada ya mazungumzo yao leo Ikulu
Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania baada ya mazungumzo yao Ikulu leo 17-2-2017.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments: