Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Ulowa 4 Magreth Charles, wakati wa uzinduzi wa kisima wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga.
Meneja Masoko wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Mashauri,akimtua ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Ulowa 4 wilayani Ushetu mkoani Shinyanga Tatu Kapembe,wakati wa uzinduzi wa kisima cha maji kijijini hapo.


Toa Maoni Yako:
0 comments: