Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu mara baada ya kuwasili katika Kijiji cha Baatini ili kushuhudia zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' na kufunga maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi kabla ya kwenda kushuhudia zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' na kufunga maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange kabla ya kuelekea kwenda kushuhudia zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' katika kijiji cha Baatini Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipita mbele ya Askari mbalimbali wa JWTZ walioshiriki katika zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' katika kijiji cha Baatini Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wakati akielekea kwenye bendi ya Jeshi ya Mwenge iliyokuwa ikitumbuiza viwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma wakati bendi ya Jeshi ya Mwenge Jazz ilipokuwa ikitumbuiza kabla ya kufunga rasmi maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani jana. Pembeni yake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimpigia makofi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kufunga maadhimisho hayo jana.
Askari mbalimbali wa JWTZ walioshiriki katika zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia baadhi ya Askari Mgambo walioshiriki katika zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' katika kijiji cha Baatini Wilayani Bagamoyo mara baada ya kufunga maadhimisho ya miaka 52 ya JWT jana. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments: