Katibu wa Chama cha Wazazi wenye watoto wenye kichwa kikubwa na
mgongo wazi, Hidaya Alawi (kushoto) akiwaonesha wazazi hao kifaa
kinacho tumika kumsaidia mzazi kumtoa haja kubwa mtoto wake mwenye
mgongo wazi maeneo ya Mwandege Mkoa Pwani jana.
8408.Katibu wa Chama cha Wazazi wenye watoto wenye kichwa kikubwa na
mgongo wazi, Hidaya Alawi (kushoto) akimwonesha mtoto Paskali Masumbuko
mpira wakutolea haja ndogo wakati wa mafunzo ya kuwasaidia wazazi
kuwaweka watoto wao kuwaweka safi kwa upande wa haja ndogo na kubwa
yaliyo fanyika katika nyumba ya Matumaini mwandege Mkoa wa Pwani jana.
Katibu wa Chama cha Wazazi wenye watoto wenye kichwa kikubwa
na mgongo wazi, Hidaya Alawi (kushoto) akiwaonesha wazazi hao kifaa
kinacho tumika kumsaidia mzazi kumtoa haja kubwa mtoto wake mwenye
mgongo wazi maeneo ya Mwandege Mkoa Pwani jana. kulia ni Muweka hazina
wa Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA)
Elias Masamaki (PICHA NA KHAMISI MUSSA).
Toa Maoni Yako:
0 comments: