
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (wapili kulia), akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Shirika hilo mkoani Kagera, Mhandisi Francis Maze, (kulia), wakati alipotembelea kituo cha Kabeta

Wateja wakiwa wamepanga foleni kupata huduma za umeme kwenye kontena lililowekwa nje ya ofisi za Shirika hilo mkoani Kagera, baada ya jengo hilo kuathirika vibaya.

Mhansisi Mramba akiongea na waandishi wa habari baada ya kutembelea kituo cha Kabeta

Mwangalizi msaidizi wa ofisi za Kituo cha kupoozea na kusambaza umeme cha Misenyi


Mhandisi Mramba, akikagua athari za tetemeko kwenye makao makuu ya TANESCO mkoani Kagera

Mhandisi Mramba, na ujumbe wake wakitembelea kituo cha Misenyi.


Mfanyakazi wa TANESCO mkoani kagera ambaye nyumba yake iliathirika akizungumza kwenye mkutano huo.


Wafanyakazi wa TANESCO mkoani Kagera


Hili ndilo jengo linalotumiwa na TANESCO kama makao makuu yake mkoani Kagera, ambalo limepata nyufa nyingi na kupelekea huduma za umeme kwa wateja kutolewa nje ya jengo hilo ambapo wateja wanaonekana wakiwa kwenye foleni.


Toa Maoni Yako:
0 comments: