Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo, akikata utepe kwenye uzinduzi wa duka jipya la kampuni ya Tigo Ikwiriri wilayani humo leo. Wanaoshuhudia Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani, Goodluck Charles(mwenye miwani kulia),Meneja Mauzo wa Kanda ya Pwani Asnath Mboya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji Rashid Salum (kushoto).
Msimamizi wa duka la Tigo la Ikwiriri Anthonia Nyalagwinda akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Juma Njwayo Mkuu wa Wilaya ya Rufiji mara baada ya uzinduzi wa duka jipya la kampuni ya Tigo Ikwiriri wilayani Rufiji leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: