Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya
kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia mamia ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya
kuwasili akitokea Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia wanakwaya wa UWT Kisima cha maji Chumvi mara baada ya
kuhutubia wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwalimu Mstaafu wa Shule ya Sekondari Sengerema Wilson
Fumbuka Mbanga ambaye walifundisha naye shule hiyo tokea mwaka 1982-1985
mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiaagana na wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kumaliza
kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Busisi wakati akielekea Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza. PICHA NA IKULU.

Toa Maoni Yako:
0 comments: